Hizi ni Taswira katika Mtanange wa Azam fc na Mbeya City fc wakoma kumwanya mara baada ya Azam fc kuibugiza Timu ya Mbeya City ikiwa ni muendeleo wa Ligi kuu Tanzania Bara wafungaji ni Kiplee Cheche Goli la kwanza, John Boko Adebayo Goli la Pili na Farid Mussa Goli la Tatu katika mchezo ulio chezwa katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Mchezaji wa Timu ya Azam Mwantika akijibizana na Mchezaji wa Timu ya Mbeya City Haluna Mosh Boban mara baada ya kufanyiana Madhambi katika Mchezo huo.
Baadhi ya Mashabiki wa Mbeya City wakiwa Sanjari na Vikinga Mvua vyao mara baada ya Mvuwa kubwa kunyesha Uwanjani hapo.
Wawa katika Ubora wake..
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.
No comments:
Post a Comment