Monday, June 1, 2015

KAMPENI YA ZUIA AJALI SASA,TOA TAARIFA MAPEMA YATUA JIJINI MWANZA.

  Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Dominician Mkama akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(Hawapo pichani)wakati wa kuendeleza kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema” kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni bure kwa wateja wa Vodacom.Kampeni hiyo inayoendeshwa na jeshi la polisi  kikosi cha Usalama barabarani,Vodacom Tanzania na vyombo vya habari vya ITV/Radio one ilifanyika  katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza.
 Mkuu wa jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Mwanza Kamanda Mohamed Likwata akiwapatia maelezo baadhi ya abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Mwanza kwenda Bukoba kuhusiana na  kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema”kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni bure kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Kampeni hiyo inaendeshwa na jeshi la polisi  kikosi cha Usalama barabarani kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania  na Vyombo vya habari vya ITV/Radio one ilifanyika  katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza.
 Abiria Aaron Yuda Mkazi wa jijini Mwanza(kushoto)aliyekuwa akisubiria basi la kwenda Bukoba akimfafanulia jambo maofisa wa jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani mkoani humo wakati wa zoezi la kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema”kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni  bure kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Kampeni hiyo inaendeshwa na jeshi la polisi  kikosi cha Usalama barabarani kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania  na Vyombo vya habari vya ITV/Radio one ilifanyika  katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini humo.
 Baadhi ya abiria wakiwa tayari kwa safari yao ya kwenda Bukoba mkoa wa Kagera kutoka Jijini Mwanza baada ya kupatiwa elimu na jeshi la polisi  kikosi cha Usalama barabarani kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania  na Vyombo vya habari vya ITV/Radio one kuhusiana na kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema”kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni  bure kwa wateja wa Vodacom Tanzania.Kampeni hiyo ilifanyika katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini humo.
 Maofisa wa jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Mwanza wakishiriki katika kubandika stika kwenye mabasi yaendayo mikoani wakati wa kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema”kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni bure kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Kampeni hiyo  inaendeshwa na jeshi la polisi  kikosi cha Usalama barabarani kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania  na Vyombo vya habari vya ITV/Radio one  ilifanyika  katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini humo. 
Mkuu wa jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Mwanza Kamanda Mohamed Likwata akibandika stika yenye namba 0800757575ambayo imetolewa mahususi kwa abiria wanaotumia vyombo vya moto kusafiria kutoa taarifa bure kupitia namba hizo kuhusiana na  kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema”kupitia namba 0800757575 kwa watumiaji wote wa simu ikiwa ni bure kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Kampeni hiyo inaendeshwa na jeshi la polisi  kikosi cha Usalama barabarani kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania  na Vyombo vya habari vya ITV/Radio one ilifanyika  katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza.

No comments: