Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda jana wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda(wa pili kushoto) Waziri Kiongozi Mstaafu Shamsi Vuai Nahodha(kushoto) Mama Mwanamwema Shein (kulia) na Mwenyekiti wa Mkoa wa Magharibi Yussuf Mohammed Yussuf wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort akiwepo Mke wa Mamako wa Pili wa Rais Mama Pili Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea taarifa kutoka kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Magharibi Aziza Mapuri jana wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza Viongozi mbali na wanachama wa CCM na Wafanyabishara katika chakula cha jioni wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort.
Kikundi cha Imarisha cha CCM MKoa Amani kikitoa burudani ya ngoma ya Tukulanga wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim shilingi Millioni Nne kutoka kwa Waziri asiyekuwa na Wizara maalu na Mjumbe wa Halamashauri Kuu ya CCM NEC Machano Othman Said wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim shilingi Millioni Tano kutoka kwa Waziri wa Fedha Omar Yussuf na Mkewe wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim na Cheki kutoka kwa Mfanyabiashara Ahmada Shaa wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim shilingi Millioni tano kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya kuuza Kuu (Peduu) Issa Kassim Issa wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim kutoka kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Tanzania Abdalla Bulembo wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha sillingi milioni mbili na nusu kutoka kwa Tauhida Cassiun Galos Nyimbo Mbunge CCM wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim shilingi Millioni Mbili na Nusu kutoka kwa Mwakilishi wa Jimbo la Bububu Ibrahim Hussein Makungu (Bhaa) wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mchango wa fedha tasilim shilingi Millioni Moja kutoka kwa Mjumbe wa Kamati Kuu wa CCM Khadija Mohamed Aboud Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort.
Picha ya kuchora ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ikiwa katika mnada kwa wanachama na wafanyabiashara mbali mbali wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort iliyouzwa kwa shilingi millioni Ishirini na Tatu na Laki mbili.
Mbunge wa Afrika Mashariki Mhe. Makongoro Nyerere akipokea picha ya Mzee Karume na Mwalimu Nyerere wakikagua gwaride kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein iliyouzwa kwa mnada shilingi Millioni Nne wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana.
Mke wa Rais wa zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimkabidhi keki MkuuKiongozi wa Kikundi Imarisha cha CCM Mkoa Amani Marium Omar keki iliyonadishwa kwa Shillingi Millioni Kumi na Mbili wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Waziri wa Fedha na Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM NEC Omar Yussuf Mzee vyeti vya Shukurani kwa wafanyabishara na Wanachama mbali mbali waliochangia fedha wakati wa Uzinduzi wa mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Hotel Zanzibar Beach Resort jana.(Picha na Ikulu.)
No comments:
Post a Comment