Saturday, May 2, 2015

PRISONS WALIVYO WACHAPA MBEYA CITY GOLI MOJA KWA SIFURI (1-0) UWANJA WA SIKOINE JIJINI MBEYA KATIKA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA.

Mbeya city fc yajikuta ikiwa katika huzuni mara baada ya kufungwa goli moja na timu ya Tanzania Prisons katika uwanja wa sokoine jijini mbeya katika mtanange wa ligi kuu ya vodacom tanzania ambapo mchezaji wa Tanzania Prisons Lugano Mwangama aliipatia goli timu yake kwa penati iliyo sababishwa na goli kipa kufanya madhambi.picha na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) Mbeya.
 mchezaji wa Tanzania Prisons Nordin Chona (shoto) akichuana na Paul Nonga kutoka mbeya city katika mtanange wa ligi kuu ya vodacom Tanzania ambapo Prisons waibuka washindi kwa kuwachapa mbeya city fc goli moja kwa sifuri (1-0).
 kiungo wa Tanzania Prisons Meshack Suleiman (shoto) akifuata mpila kwa Raphael Alpha.
                                                      mbioooooooo..
Hivi ndivyo mambo yalivyo kuwa huko mbeya kwenye uwanja wa sokoinee katika mtanange wa Mbeya city fc na Tanzania Prisons.

No comments: