bendi kutoka kikundi cha kihumbe ikiongoza maandamano kuingia uwanjani ambapo ndipo sherehe hii ilipo fanyika.
" MFANYAKAZI KAJIANDIKISHE KURA YAKO NI YA MUHIMU KWA MAENDELEO YETU"
Baadhi ya wafanyakazi mbalimbali wakiingia uwanjani kwa maandamano.
baadhi ya wafanyakazi wakisikiliza jambo katika hafra hiyo ya siku kuu ya wafanyakazi mkoani mbeya katika uwanja wa sokoine.
mwenyekiti wa (TUCTA) mkoa wa mbeya mh.pili pili Sharubu akizungumza jambo na wafanyakazi mkoa wa mbeya katika sherehe ya wafanyakazi mkoani humo iliyo fanyika katika uwanja wa sokoine jijini mbeya.
Ishara ya kupinga mkono sweta ikionyeshwa na baadhi ya madaktari wa hospitali ya rufaa juu ya tohara kwa wanaume.
Mkuu wa mkoa wa mbeya mh.Abasi Kandolo akitunuku zawadi kwa wafanyakazi makina na wachapa kazi.hivi ndivyo ilivyo kuwa.
No comments:
Post a Comment