Safari ya kurudi kiasi ilikuwa tatizo wakati mwingine baadhi yao walilazimika kupewa msaada kwenye kifaa maalumu cha kushushia wageni waliopata matatizo .
|
Baadhi ya vijana ambao ni marafiki wa Lowassa wakiwa katika safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro. |
|
Kundi la marafiki wa Lowassa kutoka kana ya Kaskazini wakiwa katika kituo cha Kibo ,wakiwa katika maandalizi ya kuanza kwenda kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. |
|
Sehemu ya juu ya mlima Kilimanjaro ikiwa imefunikwa kwa theruji. |
|
Kundi la Marafiki wa Lowassa wakiwa katika kituo cha Stella,kikiwa ni kituo cha mwisho kuelkea kilele cha Uhuru . |
|
Mandhari mbalimbali zinayoonekana wakati wa kuupanda Mlima Kilimanjaro. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment