Sehemu ya Wamiliki wa Blogs mbali mbali hapa nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya mwaka kwa Tanzania Bloggers Network,ambaye ni Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),Ndg. Kajubi Mukajanga pamoja na baadhi ya wadhamini waliofanikisha hafla hiyo,iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Masoko kwa Kampuni ya Simu ya Vodacom Tanzania ambao ndio walikuwa wadhamini wakuu,Kelvin Twissa akizungumza machache katika hafla hiyo.
Mkongwe kwa maswala ya kublog hapa nchini,Ankal Issa Michuzi akifafanua jambo kwa baadhi ya wageni waalikwa juu ya kukutana kwao kwenye hafla hiYo iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena,jijini Dar es salaam.
Picha ya pamoja kwa baadhi ya Wanablog na wadhamini wa hafla hiyo.
Mgeni Rasmi Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Mhe Kajubi Mukajanga (kati) akiwa na Ankal na Anko John Kitime
Kutoka kushoto ni Woinde Shizza, Othman Michuzi, Pam Mollel, Zainul Mzige na Karim
Mgeni Rasmi Mhe Kajubi Mukajanga akikata ndafu wa TBN. Kushoto kwake ni mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani na kulia ni Kelvin Twissa, Mdhamini mkuu wa Mnuso huo pamoja na Rachel Pallangyo wa TBN
Mkuu wa ukumbi (floor manager) Monica Joseph Mara akiongoza wana TBN kuserebuka
Ankal akiwa na ubavu wake (kulia) na ubavu wa Bongo Celebrity a.k.a Mama Amaya
Nyota wa mchezo hapa ni Gadiola toka Arusha (mbele kati)
Msoma risala mkuu wa TBN Henry Mdimu akiwa na bloggers wenzie
Wana TBN katika picha ya pamoja
Ankal akiwa na Max wa Jamii Forums ambao wote ni waasisi wakuu wa TBN
Nyota hapa ni blogger toka Bukoba Ruta (Blue T-shirt) akiwa na blogger wa Dar, Arusha na Kilimanjaro
Mwanachama mkongwe wa TBN Kaka Omar Swai (wa pili kushoto) akiwa na wana libeneke toka Arusha Pam Mollel (shoto), Woinde Shizza (kulia) na Mama Ankal
No comments:
Post a Comment