Sunday, February 22, 2015
YANGA YAICHALAZA MBEYA CITY GOLI 3-1 KATIKA UWANJA WA SOKOINE JIJINI MBEYA.
Baadhi ya makocha wa yanga vs mbeya city akizungumza na vyombo vya habari baada ya mtanange wao wa ligu kuu ya vodacom katika uwanja wa sokoinne ambapo yanga iliibuka kidedeaa baada ya kuidunga mbeya city fc goli tatu kwa moja.
mshike mshike uwanjan,,,
konna kwa lango la yanga pale wakati huo yanga ikiwa inaoongoza goli moja kwa kwa moja ambapo dakika ya 18 msuva kufungua lango upande wa yanga kwa kuwachalaza mbeya city goli la kwanza, dakika ya 62 katika kipindi cha pili mrisho ngasa kuongeza kitu cha pili upande wa yanga fc, huku mbeya city nao mchezaji peter mapunda kufanikisha kuludisha bao lakwanza dakika 78 huku dakika ya 82 yanga kuwaongeza tena mkwaju wa tatu mbeya city fc kutoka kwa hamisi tambwe.
hapiti mtu hapa
kiungo makini wa yanga Andrey Cotinho na mpila.
msuva akitia mbwembwe katika lango la wapinzani wake baada ya kufunga goli la kwanza.
nyomiiiii..
mh sugu nae akitia timu na mabodigadi wake uwanjani kwa mbwembwe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment