Thursday, February 12, 2015

AZAM FC ILIVYO ICHAPA MTIBWA SUGAR 5-2.


Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao lao la tano dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam. Azam ilishinda 5-2. (Picha na Francis Dande)
 Mshambuliaji wa Azam FC, Salum Abubakar akimiliki mpira.
 Frank Domayo (shoto) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Mussa Nampaka.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo. 
Kipre Tchetche akimiliki mpira.
 Frank Domayo akishangilia bao lake.
 Kipa wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed akiokoa moja ya hatari langoni mwake. 

No comments: