Kaimu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava
akifungua warsha iliyokutanisha wadau mbalimbali wa nishati ya umeme
vijijini iliyofanyika jijini Dar es salaam kujadili mpango mkakati
katika usambazaji wa umeme vijijini. Pia ilihusisha wadau wengine
kutoka nchi za Peru, Vietnam, Brazil, Tunisia na Ghana.
Mkurugenzi
Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Dk. Lutengano Mwakahesya
akifungua warsha iliyokutanisha wadau mbalimbali wa nishati ya umeme
vijijini iliyofanyika jijini Dar es salaam kujadili mpango mkakati
katika usambazaji wa umeme vijijini. Pia ilihusisha wadau wengine
kutoka nchi za Peru, Vietnam, Brazil, Tunisia na Ghana.
Meneja
Mradi wa Benki ya Dunia (WB) katika nchi za Tanzania, Uganda na
Burundi Oliver Braedt akichangia jambo katika warsha iliyokutanisha
wadau mbalimbali wa nishati ya umeme vijijini iliyofanyika jijini Dar
es salaam kujadili mpango mkakati katika usambazaji wa umeme vijijini.
Pia ilihusisha wadau wengine kutoka nchi za Peru, Vietnam, Brazil,
Tunisia na Ghana.
Wadau
mbalimbali wa warsha hiyo wakifuatilia hotuba iliyokuwa inatolewa na
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava
(hayupo pichani) katika warsha iliyokutanisha wadau mbalimbali wa
nishati ya umeme vijijini iliyofanyika jijini Dar es salaam kujadili
mpango mkakati katika usambazaji wa umeme vijijini. Pia ilihusisha
wadau wengine kutoka nchi za Peru, Vietnam, Brazil, Tunisia na Ghana.
Baadhi
ya wadau kutoka kampuni zinazojihusisha na usambazaji wa umeme
vijijini wakifuatilia mada kwa makini zilizokuwa zinawasilishwa na watoa
mada (hawapo pichani) kwa nyakati tofauti katika warsha iliyokutanisha
wadau mbalimbali wa nishati ya umeme vijijini iliyofanyika jijini Dar
es salaam kujadili mpango mkakati katika usambazaji wa umeme vijijini.
Pia ilihusisha wadau wengine kutoka nchi za Peru, Vietnam, Brazil,
Tunisia na Ghana
Baadhi
ya wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini ( waliokaa mstari wa
mbele) wakifuatilia mada zilizokuwa zinawasilishwa na wadau mbalimbali
(hawapo pichani) katika warsha iliyokutanisha wadau mbalimbali wa
nishati ya umeme vijijini iliyofanyika jijini Dar es salaam kujadili
mpango mkakati katika usambazaji wa umeme vijijini. Pia ilihusisha
wadau wengine kutoka nchi za Peru, Vietnam, Brazil, Tunisia na Ghana.
No comments:
Post a Comment