Makamu wa Rais wa Isaca Tanzania Chapter ambaye pia ni Ofisa
Mtendaji Mkuu Wakala wa Serikali Mtandao, Dk. Jabir Bakari akitoa
hotuba yake wakati akifungu semina kuhusu usalama wa mifumo ya kompyuta
pamoja na ukaguzi wa mifumo hiyo kwa kuwakutanisha wataalumu na
kujadiliana kuhusu ukuaji wa teknolojia na usalama.
Aidha
Dk. Jabir alisema kuwa semina hiyo inawakutanisha wataalamu wa mifumo ya
kompyuta kutoka ndani na nje ya nchi watakaojifunza na kuongeza
utaalamu wa kulinda mifumo ya mitandao.
Naye
Mratibu wa Semina hiyo ambaye pia ni Rais wa Isaca Tanzania, alisema
kuwa semina hiyo kwa ajili ya kuelezea wadau wa mitandao kuhusu mwelekeo
wa teknolojia duniani na ukubwa wa tatizo katika wizi wa mitandao
'miaka ya nyuma kulikuwa na wizi wa kuvunja katika mabenki lakini siku
hizi mbinu za wizi zimebadilika na wezi wanaiba kupitia mifumo ua
mitandano hasa kompyuta pamoja na simu, kutoa elimu ya ajili ya mifumo
ya kompyuta namna ya kuilinda na kuiendeleza.
Katibu wa Tanzania Chapter, Nemayani Kaduma (kulia)akiwa katika semina hiyo.
Baadhi
ya washiriki wa semina ya ya kimataifa kuhusu usalama wa mitandao
wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Taasisi ya Isaca Tanzania Chapter, Dk.
Jabiri Bakari (hayupo pichani) iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Washiri wa semina wakifuatikilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa.
Washiriki wa semina hiyo.
Washiriki.
George Wahome kutoka Isaca-Kenya akitoa mada kuhusu usalama
wa mitandao.
Washiriki wa semina.
Rais wa Isaca Tanzania Chapter, Boniface Kanemba akifuatilia mada katika semina hiyo.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Dun & Bradstreet Credit Bureau Tanzania, Adebowale Atobatele akitoa mada katika semina hiyo.
Rais wa Isaca Tanzania Chapter, Boniface Kanemba akizungumza na waandishi wa habari.
Washiri wa semina hiyo wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa.
Rais wa Isaca Tanzania Chapter, Boniface Kanemba (kulia) akimpongeza Isack Maheri aliyefaulu mitihani ya ukaguzi wa Mitandao
ijulikanayo kama CISA.
Rais
wa Isaca Tanzania Chapter, Boniface Kanemba (wa pili kulia) akiwa katika
picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Isaca Tanzania, Dk. Jabir Bakari (wa tatu kushoto),
Katibu wa Tanzania Chapter, Nemayani Kaduma (kushoto) na Mkurugenzi wa
Elimu Mtandao, Dk. Carina Wangwe (kulia) na Peter Baziwe (wa tatu kulia)
No comments:
Post a Comment