Kiukweli mimi binafsi sina uhakika na usalama wa vyakula vya kununua njiani wakati wa safari,hususani kama hawajamaa wanao uza chipsi mayai katika eneo la Makambako haijulikani ni muda gani wameandaa vyakula hivyo,na ni vyalini, mafuta gani walio tumia pia katika mazingira gani, wenyewe wana jiwekea kwenye lambo mwendo mdunda kufukuzia basi linalo simama eneo hilo.
Vijana wakiwa wame pozi kando ya barabara wakibadilishana mawazo ya hapa na pale huku wakiwa makini kusubili mchuma unao kuja,wakiwa na bidhaa zao huku chili na tomato pembenii pilipili kwa mbaalii tayari kwa kuwatamanisha wateja wao wapenzi wa chipsi hususanii wakina dada.
No comments:
Post a Comment