Thursday, November 13, 2014

TAARIFA KUTOKA GOLDEN FLOWER ARTS GROUP.

Kutakuwa na semina ya majadiliano kwa viongozi wa makundi ya sanaa jijini mbeya pamoja na wasanii hata mashabiki pia,Katika tasnia ya sanaa ya Maigizo,Siku ya juma pili,Ya Tar-16,ya mwezi wa 11,2014, Katika Ukumbi wa Kiwila Motel Soweto, Muda ni kuanzia Saa Tisa Kamili Mchana,Lengo ni kujadili kwa pamoja juu ya Sanaa yetu,na hojaa mbalimbali za kujengana katika Tasnia ya Filamu jijini Mbeya,mawaza yako nimuhimu sana.
                                   Imetolewa na Ramadhani Mbogo(RAYUU)

No comments: