Mtazamo wa Mr.Pengo katika matembezi yake na kujionea jiji la Mbea kwa jicho la mwewe na kukuta mabati mengi jijini humo ni yalangi ya chocolate kutokana na kutu ya muda mrefu Mr.Pengo amebatiza jina hilo kutokana na vijana wengi wa jiji la mbeya huji gamba kwa kujiita wana Green City ina weza kupendeza pia kwa sasa kujiitaa Chocolate City mtazamo tu.
kama unavyo onaa ndugu mdau jinsi bati zilivyo meremeta kwa uchocolate ulio tawala kwem
nye bati hizoo.
No comments:
Post a Comment