Sidhani kama hivi vibao vinavyo andikwa juu ya kuonya vitu fulani katika baadhi ya maeneo nchini hususani barabarani,unakuta kibao kimeandikwa,usitupe taka hapa,hailuhusiwi mtu yoyote kufanya biashara eneo hili na kadhalika,lakini bado shelia zinavunjwa kila siku kana kwamba hakuna hatua zozote za kisheria zinazo chukuliwa.
Tazama huyu jamaa alie paki gari lake huku kibao kikisema (usiegeshe gari hapa/no parking) kwa jicho la mr pengo lilivyo tadhmini kuwa hakuna atua zozote zinazo chukuliwa hapa kibao hicho ni pambo kama picha za saloon tu.
No comments:
Post a Comment