Haya ndo mambo ya dala dala kama kawaida yao kuweka mafuta ya kubangaiza,lakini mchuma mmoja leo umepoteza kumbukumbu kwa umbali unao tumia kutokana na kupita njia nyingine kana kwamba njia iliopita leo ni ndefu zaidiii,ikapelekea mpaka mchuma huo kukata pumzi na abiria kushuka na kuukongoja mchuma kutafuta sheli ilio kalibu.
Abilia wakiwa kapuni wakijiongeza kwa kuu push mchuma kuelekea katika kituo cha mafuta kilicho jilani.
No comments:
Post a Comment