Monday, September 11, 2017

UJUMBE WA BUREEE KUTOKA KWA MBABE WA PICHA KALI NYANDA ZA JUU KUSINI MBEYA MR.PENGO #TeamMapicha #SomewhereInAfrica...

Picha ni sanaa inayoweza kumtoa mtu kutoka sehemu moja kwenda nyingine, kupitia picha unaeza kufanya mengi zaidi kwa kubuni taswira mbalimbali kupitia sanaa yako, Mr.Pengo ni mmoja wa watengeneza taswira kutokea nyanda za Juu kusini anaefanya shughuli zake kupitia camera na kujikimu kimaisha pia kutimiza malengo mbalimbali ya kiuchumi, njia kuu anayo itumia Mr.Pengo ni (Plani kubwa kwa bajeti ndogo) hii ndio muongozo mkubwa ambao kila mmoja wetu akitumia mbinu hii kwa kuokoa bajeti katika kufanya mambo makubwa zaidi, pia kuongea na kupokea ushauri hata kwa mtoto mdogo kusikiliza nini unatakiwa kufanya, kuheshumu vitu na mtu yoyote bila kudharau,kuachana na majigambo yasio msingi kwako, kupokea marafiki tofauti tofauti bila kuchaguwa, na vitu vingine vingi vyenye msingi kwako nahakika utafanikiwa kufikisha ndoto zako pale ulipo papangilia kufika...Ahsanteni

No comments: