Wednesday, March 22, 2017

COCA - COLA KWANZA YAENDELEA KUTAMBULISHA UJIO WAKE MPYA WA MKANDA MWEKUNDU KWENYE CHUPA KWA SHULE ZA MBEYA, YATINGA AIR PORT SEKONDARI YAMWAGA ZAWADI NA SODA KWA WANAFUNZI..


Pichani ni wanafunzi wa shule ya sekondari ya Air Port iliyopo jijini mbeya wakiwa wamekamatia soda mkononi kotoka katika kampuni ya Coca-Cola ikiwa ni muendelezo wa kuendelea kuamsha shangwe na Coca-cola na ujio mpya wa mkanda mwekundu katika chupa za soda ya Coca-Cola.

Moja kati ya wanafunzi wa shule hiyo ya Air Port iliyopo Jijini Mbeya akijaribu kushiriki shiondano la kupiga danadana kwa kutumia Mpira na hatimae kujinyakulia Mpira huo kutoka Coca-Cola.

Mwanafunzi wa shule ya Air Port Sekondari akionyesha moja ya zawadi aliyo ipokea kutoka Coca-Cola kwanza walipo tembelewa shuleni hapo.

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Air Port wakiwa katika uwanja wa shule yao uliopo katika eneo la jakalanda jijini mbeya kuuonja msisimko na Coca-Cola yenye muonekano wa kuvutia ulio zinduliwa hivi karibuni mkoani mbeya na kuingizwa mtaani ili wanambeya kuendelea kuamsha shangwe zao na Coca-Cola ya nguvu yenye muonekano mpya wa mkanda mwekundu kwenyechupa za Coca-Cola.
PICHA ZOTE NA FADHIRI ATICK MR.PENGO MBEYA.

No comments: