All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, September 1, 2016

MAELFU YA WATU WALIJITOKEZA KUSHUHUDIA TUKIO LA KIHISTORIA LA KUPATWA KWA JUA RUJEWA MBALARI MKOANI MBEYA...

Maelfu ya Watu kotoka Sehemu Mbalimbali Duniani walijitokeza kwa wingi kushuhudia tukio kubwa la Kihistoria Duniani la kupatwa kwa Jua lililo onekana vyema katika Eneo la Rujewa Relini Wilayani Mbalari Mkoani Mbeya ni Mara baada ya Miaka Mingi tukio hili kutokea Duniani, wengi wafarijika kushuhudia tukio hilo la Kihistoria la kupatwa kwa Jua.
Baadhi ya Wanasayansi kutoka nje ya Nchi ya Tanzania wakipata Taswira ya tukio hilo la kupatwa kwa Jua tukio lililo onekana vyema Eneo la Rujewa Mbalari Mkoani Mbeya.
Taswira ya Muonekano wa Jua likipatwa.
Mkuu wa mkoa wa mbeya kulia Mh.Amos Makalla akizungumza jambo na Mdau Kutoka Katika Eneo la Tukio Rujewa Mbalari Mkoani Mbeya.

Mitambo Ikiwekwa sawa.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG RUJEWA.
Post a Comment