All Right Receved by MR.PENGO 2016

Tuesday, July 12, 2016

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA BARABARA YA CHUNYA MBEYA...

Hizi ni Taswira Mbalimbali za muonekano wa Barabara ya kutoka Mbeya kuelekea wilayani Chunya kama ambavyo moja ya Taswira hapo juu yenye kuvutia kutokana na Kona zake.
Barabara hiyo Mambo Safii kabisa kulinganisha na kipindi cha nyuma Bararabara hii ni Rami mpaka wilayani Chunya.
Taswira yenye kumeremeta na yenye kuonyesha Barabara iliyo katiza mbele kidogo ya Milima.
Bajaji nazo zinateleza tuu mambo safi sasa Chunya Dakika chache tuu unafika.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG.

No comments: