All Right Receved by MR.PENGO 2016

Friday, July 22, 2016

TANZIA:MCHEKESHAJI ISMAIL MAKOMBE MAARUFU KWA JINA LA KUNDAMBANDA AFARIKI DUNIA..

Msanii wa Vichekesho ISMAIL MAKOMBE almaarufu kama KUNDAMBANDA ambae pia alikuwa mgombea ubunge jimbo la masasi kupitia Chama cha wananchi CUF amefariki Dunia mapema hii Leo. 
Mungu ametoa na Mungu ametwaa. 
Tutakukumbuka Milele Daima.
TAZAMA HAPO CHINI MOJA YA KAZI ALIZO ZIFANYA.

No comments: