All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, February 14, 2016

YALEEEE YALEEEEE:DEREVA WA BAJAJI APONEA CHUPUCHUPU JIJINI MBEYA....

Baadhi ya Wasamalia wa Eneo la Njiapanda Sterio Mkabala na Kanisa la Roma Jijini Mbeya wakiwa katika Bajaji iliyo Gongwa na Gari aina ya Fuso (Roli) Nambari za Usajili zimehifadhiwa lililo kuwa likiiovateki Bajaji hiyo na kupelekea pia Roli hilo kuingia kwenye Mtaro kutokana na Roli hilo kuwa kasi sana hakuna majerui wala kifo.
Bajaji iliyogongwa na Roli ikiwa katika hali ya Kusikitisha Kutokana na Eneo la mbele la bajaji hiyo Kuharibika kutokana na kugongwa na Roli.
 Baadhi ya Wananchi wa Eneo hilo wakishuhudia Tukio hilo lilotokea leo Jijini Mbeya
Gari aina ya Fuso (Roli) likiwa katika jitihada ya kutolewa kwenye Mtaro.


No comments: