All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, February 21, 2016

SKAUTI WA MKOA WA MBEYA WANUFAIKA NA MAFUNZO YA SIKU MBILI KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MUANZILISHI WA SKAUTI DUNIANI.

 
Baadhi ya Skauti wakiwa Juu ya Kamba katika Zozi la ukakamavu kupishana juu ya Kamba ikiwa ni moja ya Mafunzo waliyo Jifunza katika Kambi ya siku mbili ya Kumkumbuka Munzilishi wa Skauti Duniani Baden-Powell, Maadhimisho haya yanayo fanyika kila Mwaka Tarehe-22-02, Skauti wa Mkoa wa Mbeya pia walijifunza jinsi ya Kuuzima Moto, jinsi ya kutoa Huduma ya kwanza kwa Mgonjwa na Mazoezi Mbalimbali waliyo kuwa wakiyapata katika Viwanja vya Ottu Sido Jijini Mbeya.
 Kijana akipika Chakula katika moja ya Kambi zao kama aonekanavyo katika Taswira.

 Vijana wa Skauti Mkoa wa Mbeya wakionesha ukakamavu kwa Viongozi wao wa Mkoa hawapo Pichani...

Baadhi ya Viongozi wa Skauti Mkoa wa Mbeya Wakijadili Jambo Pembeni.

Viongozi wa Skauti Mkoa wa Mbeya wakikaguwa Paredi Kwa vijana wa skauti mkowa wa Mbeya katika Sherehe za Kumkumbuka Muunzilishi wa Skauti Duniani Baden-Powell yaliyo fanyika Ottu Jijini Mbeya.
                            PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA


Post a Comment