All Right Receved by MR.PENGO 2016

Monday, February 1, 2016

MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AZINDUA RASMI WIKI YA SHERIA NCHINI INAYO ADHIMISHWA KIMKOA KATIKA KITUO CHA DALADALA KABWE JIJINI MBEYA......

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akisalimiana na wananchi katika Uzinduzi wa Wiki ya Sheria nchini uliofanyika katika kituo cha daladala cha kabwe jijini mbeya.
kutoka kulia ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu Kanda ya Mbeya, Jaji Noel Chocha akimpongeza Mkuu wa Mkoa Mh.Abbas Kandoro Shoto wakati alipo kuwa akizungumza na Wananchi wa Jiji la Mbeya hawapo pichani juu ya Mafunzo ya Sheria yaliyo anza kutolewa Sehemu mbalimbali za Mkoa wa Mbeya.
Baadhi ya Wanasheria na Mahakimu wa Mahakama za Mkoani Mbeya wakiwa katika uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya sheria nchini iliyozinduliwa kimkoa katika Stendi ya daladala Kabwe jijini Mbeya
Baadhi ya wananchi wakifuatilia uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya sheria nchini yaliyofanyika leo katika kituo cha daladala cha Kabwe jijini Mbeya.
PICHA NA MR.PENGO MBEYA.

No comments: