All Right Receved by MR.PENGO 2016

Friday, January 15, 2016

TASWIRA MBALIMBALI ZA MUONEKANO WA ENEO LA MAFIATI MATAA MPAKA MWANJELWA LEO JIJINI MBEYA..

Taswira Mbalimbali za Muonekano wa Eneo la Mafiati Mataa mpaka eneo la Mwanjelwa hali ilivyo leo katika Jiji la Mbeya kwa Maeneo hayo..
Magari Mbalimbali yakiwa katika Foreni kusubiri kuruhusiwa Kuvuka kwa wakati ulio pangwa katika Eneo la Mafiati Mataa Jijini Mbeya...
Mnyororo Eneo la Mafiati Mataa kusuburi kuruhusiwa Magari kupita kwa wakati..
Baadhi ya Watu Wakazi wa Jiji la Mbeya wakivuka Barabara eneo la mwanjelwa jijini mbeya..
PICHA NA MR.PENGO GLOBU YA JAMII MBEYA.
Post a Comment