All Right Receved by MR.PENGO 2016

Saturday, January 23, 2016

NAVY KENZO WAPAGAWISHA MASHABIKI WAO KATIKA UZINDUZI WA VIVA NIGHT CLUB ILIYOPO JIJINI MBEYA.....

Kikundi cha Muziki wa Kizazi Kipya cha Navy Kenzo kimetoa Burudani ya nguvu katika uzinduzi wa Viva Night Club iliyopo maeneo ya Forest ya Zamani mkabala na Chuo Kikuu cha Mzumbe Jijini Mbeya..
Kiota Kipya cha Burudani Jijini Mbeya kiendacho kwa Jina la Viva Night Club Pichani kilichopo Eneo la Forest ya Zamani mkabala na Chuo Kikuu cha Mzumbe Jijini Mbeya..
Baadhi ya Wadau wa Burudani wakiwa katika Matanuzi Ndani ya kiota hicho cha Burudani kiendacho kwa Jina la Viva Night Club kilichopo Eneo la Forest ya Zamani mkabala na Chuo kikuu cha Mzumbe Jijini Mbeya..
Warembo nao Ndani ya Kiota cha Marahaa Cha Viva Night Club kilichopo Jijini Mbeya.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MBEYA.
HIVI NDIVYO,MAMBO YALIVYOKUWA UZINDUZI WA VIVA NIGHT CLUB JIJINI BEYA.

No comments: