Mwanamuziki Mahiri wa Nyimbo za Injili Nchini Ndugu, Bahati Bukuku katika Picha akiwa mwenye Uso wa Simanzi na Majonzi katika Msiba wa Mama yake Marehemu, Enea Bukuku aliefariki Tar:12,01,2016 na Mazishi kufanyika Leo Tar:15,01,2016 katika Makaburi ya Mlima James huko Jijini Mbeya.
Mwili wa Marehemu Enea Bukuku ukiingizwa ndani ya Kabuli..
Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili maharufu kwa Jina la Bony Mwaitege akizungumza jambo kwa niaba ya Wanamuziki wote wa Nyimbo za Injili katika kumfariji Mwanamuziki mwenzao Ndugu Bahati Bukuku katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mamayake Mzazi.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO - MBEYA.
No comments:
Post a Comment