All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, December 31, 2015

TASWIRA ZA MKESHA WA MWAKA MPYA JIJINI MBEYA......

Wananchi wa Jiji la Mbeya washerehekea kwa kupiga Videbe Mkesha wa Mwaka Mpya ikiwa ni kuonyesha Furahaa za kuuona Mwaka Mpya na kuamua kukatiza Mitaa Mbalimbali huku wakiimba Nyimbo za Kuukaribisha Mwaka Mpya kama waonekanavyo hapo Juu katika Taswira....
Furaa ikiwa imetawala kwa baadhi ya Wakazi wa Jiji la Mbeya.
Mwaka waanza vibaya pia kwa mwenye Gari hilo Pichani lenye Nambari za Usajli (T 240 BCB) kwa kupalamia Ukuta Eneo la Mwanjelwa Jijini Mbeya,
Heri Ya Mwaka mpyaaaaa......

No comments: