All Right Receved by MR.PENGO 2016

Tuesday, December 8, 2015

TASWIRA MBALIMBALI ZA JIJI LA MBEYA KATIKA KUTIMIZA AGIZO LA RAIS KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA......

Wananchi, Wafanyabiashara, Wanasiasa na Wanafunzi wa Jiji la Mbeya waitikia wito wa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kufanya Usafi katika Maeneo Mbalimbali ya Jiji la Mbeya kama waonekanavyo hapo na zifuatazo hapo chini ni Taswira Mbalimbali za Jinsi hali ya Mambo ilivyo kuwa katika baadhi ya Maeneo ya Jiji la Mbeya... 
Mkazi wa Jiji la Mbeya akitimiza wajibu wa kuweka Mazingira Safi katika Eneo lake..
Mama nae akiweka Mazingira safi katika Eneo lake...
Mitaa Mbalimbali ya Jiji la Mbeya imepokea vyema wito wa Rais wa Awamu ya Tano juu ya agizo la kufanya Usafi Nchi  nzima kwa siku hii ya leo
PICHA ZOTE NA MR.PENGO GLOBU YA JAMII MBEYA.

Post a Comment