Thursday, November 5, 2015

SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AWAMU YA TANO DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI UWANJA WA UHURU.....

 JK akiaga wananchi kwa furaha wakati akiingia uwanja wa Uhuru katika sherehe rasmi za kumuapisha mristhi wake Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Janhuri ya Muungano wa Tanzania 
JK akiaga wananchi kwa furaha wakati akiingia uwanja wa Uhuru katika sherehe rasmi za kumuapisha mristhi wake Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Janhuri ya Muungano wa Tanzania 
Rais Jakaya Kikwete akiongea jambo na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunnyange wakati akielelekea kwenye jukwaa kwa ajili ya shughuli ya kumuaga rasmi
Rais Kikwete akipokea saluti kwa mara ya mwisho kama Rais huku wimbo wa Taifa ukipigwa
Rais Kikwete akipokea saluti kwa mara ya mwisho kama Rais huku wimbo wa Taifa ukipigwa
Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda, Katibu wa Baraza la Mawaziri Mhe. Mdemu, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa
Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan
Jukwaa la kuapishwa wakati wa wimbo wa Taifa
Rais Kikwete akipigiwa mizinga 21 wakati nyimbo ya Taifa ikipigwa
Rais Kikwete akipigiwa mizinga 21 wakati nyimbo ya Taifa ikipigwa
Sehemu ya umati
Rais Kikwete akienda kukagua gwaride la heshima
Rais Kikwete akikagua gwaride lililojipanga katika muundo wa Omega

Rais Kikwete akigeukia jukwaa kuu wakati bendera yake ya Urais ikitelemshwa rasmi
Jikwaa kuu likiwa na Marais na viongozi mbalimbali wa Afrika
Sehemu ya viongozi, wabunge na mabalozi
Sehemu ya viongozi, wabunge na mabalozi
Sehemu ya viongozi, wabunge na mabalozi
Bendera (Presidential Standard) ya Rais Kikwete ikitelemshwa kuashiria ukomo wa Urais wake
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitelemka jukwaani baada ya shughuli rasmi za kumuaga
Rais Mstaafu Jakaya Kikwte akipeana mikono na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilali

Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Mstaafu wakisubiri Rais wa awamu ya Tano kula kiapo
Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Spika Anne Makinda, Karani wa Baraza la Mawaziri Bw. Gerson Mdemu, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakisubiri muda wa kuapishwa Rais na Makamu wa Rais
Viongozi wa dini Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo, Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally na   Askofu Dkt.  Alex Malasusa wa KKKT
Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Spika Anne Makinda, Karani wa Baraza la Mawaziri Bw. Gerson Mdemu, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakisubiri muda wa kuapishwa Rais na Makamu wa Rais
Mandhari ya jukwaa la kuapishia kabla ya kiapo
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akila kiapo

Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kuweka saini yake baada ya kula kiapo
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini baada ya kula kiapo
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuangalia Jaji  Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman akiweka saini kwenye hati yake ya kiapo
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea kitendea kazi toka kwa Jaji  Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman 
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipongezwa na Jaji  Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman 
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipongezwa na Jaji  Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman 
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na mkuki na ngao aliokabidhiwa na wazee
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipongezwa na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete 
"....Hapa ndipo panapokustahili Rais Mstaafu anamwambia Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli 
Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akila kiapo
Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akila kiapo
Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akisaini hati yake ya kiapo
Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman akisaini hati ya kiapo ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan
Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akipokea kitendea kazi
Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akipongewa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman
Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akipongezwa na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt Mohamed Gharib Bilali
Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akipongezwa na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein
Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akipongezwa na Spika Anne Makinda
Viongozi wapya na wastaafu
Viongozi wapya na wastaafu wakibadilishana mawazo
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally akisoma dua
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally akimpongeza Rais mpya
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally akimpongeza Rais mpya
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo akisoma sala
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo akimpongeza Rais mpya

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo akimkumbatia kwa furaha Rais mpya
Askofu Dkt.  Alex Malasusa wa kanisa la KKKT
Askofu Dkt.  Alex Malasusa wa kanisa la KKKT akimpongeza Rais mpya
Askofu Dkt.  Alex Malasusa wa kanisa la KKKT akikumbatiana kwa furaha na Rais mpya
Majaji wa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu ya Tanzania wakishuhudia tukio hilo la kihistoria
Majaji wa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu ya Tanzania wakishuhudia tukio hilo la kihistoria
Viongozi wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama wakishuhudia tukio hilo
Ni wakati sasa wa Rais Mstaafu na Makamu wa Rais Mstaafu kuondoka jukwaa la kuapia
Gadi maalumu ikiwasindikiza wastaafu
Rais mstaafu  na Makamu wake Mstaafu wakiaga rasmi
Wastaafu wakiondoka
Makamu wa Rais Mpya Mhe Samia Suluhu Hassan akielekea Jukwaa kuu
Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein akielekea jukwaa kuu
Spika Anne Makinda, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakielekea jukwaa kuu
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, ambaye ndiye alikuwa mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya sherehe hizi akielekea jukwaa kuu

Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akishuka jukwaa la kuapia
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akielekea jukwaa la saluti
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa juu ya jukwaa la saluti
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisimama wima wakati wimbo wa Taifa ukipigwa na mizinga 21 ikipigwa

Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua gwaride rasmi likiwa katika muundo wa Alpha kuashiria kushika madaraka ya Amiri Jeshi Mkuu

Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitembea kikakamavu bada ya kukagua  gwaride rasmi likiwa katika muundo wa Alpha kuashiria kushika madaraka ya Amiri Jeshi Mkuu

Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Makamu wake wa Rais
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipongezwa na mkewe Mama Janet Magufuli
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipongezwa na aliyemrithi Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipongezwa na aliyemrithi Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuliakirudi kuketi baada ya kupongezwa na Rais Kagame wa Rwanda, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Rais Mstaafu na Rais Joseph Kabila wa DR Congo
Jukwaa kuu
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea  na aliyemrithi Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea  na aliyemrithi Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
Familia ya Rais Magufuli walikuwepo

Mawaziri wakuu wastaafu
Viongozi mbalimbali
Mkurugenzi wa Uchaguzi Mhe Kailima Ramadhani akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Mhe Philemon Luhanjo
Wake wa viongozi akiwemo Mama Ghalib Bilali na Mama Margaret Kenyatta
Sehemu ya wake wa viongozi
Sehemu ya viongozi
Viongozi mbalimbali
viongozi
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana akiwa na Alhaji Aliko Dangote

Jukwaa kuu wakati wa wimbo wa Taifa
Askari wakila kiapo cha utii
Ndege vita zikipita kutoa saluti kwa Amiri Jeshi Mkuu mpya
Jukwaa kuu likiangalia ndege jeshi
Rais Museveni wa Uganda akitambulishwa
Rais Kagame wa Rwanda akisalimia wananchi
Rais Joseph Kabila akisalimia wananchi
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini akisalimia
Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimia wananchi
Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji akitambulishwa
Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn  akisalimia wananchi

Wasanii wa TASUBA wakitumbuiza
Wasanii wa ngoma ya msewe kutoka pemba
Wimbo maalum ukiimbwa
Jukwaa kuu
Kwaya
Vijana wa Yamoto Band wakitumbuiza

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akitoa hotuba ya shukurani
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akitoa hotuba ya shukurani
Rais Dkt Magufuli akiagana na viongozi
Rais Dkt Magufuli akiagana na mtoto wa Rais Mstaafu Ali Kikwete
Rais Dkt Magufuli akiagana na wajukuu na watoto wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
Rais Dkt Magufuli akiagana na Kamishina Mkuu wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile baada ya sherehe hizo PICHA ZOTE NA IKULU.

No comments: