All Right Receved by MR.PENGO 2016

Wednesday, November 25, 2015

PILIKA PILIKA STENDI YA KABWE JIJINI MBEYA....

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilipokuwa ikitupia Kijicho kuangazia Eneo la Stendi ya Daladala Kabwe Jijini Mbeya na kufanikisha Kunasua baadhi ya Mionekano Mbalimbali katika Stendi hiyo.Picha na Mr.Pengo Wa Mtaa Kwa Mtaa Blog Mbeya.
Sehemu Ya Wamachinga wakipanga Bidhaa zao.
Makuli katika Buti  Wakishusha Mizigo kwenye Gari..
Mzee akitembeza Bidhaa zake zilizopo Begani...

No comments: