All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, November 19, 2015

MH. KASSIM MAJALIWA APITISHWA KUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA......

Waziri Mkuu mpya Mh. Kassim Majaliwa.

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, muda mfupi uliopita limepitisha jina la Mbunge wa Jimbo la Rwangwa, Mh. Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Serikali ya awamu ya tano baada ya jina lake kupelekwa Bungeni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Mh. Majaliwa amepitishwa kwa kura 258 sawa na asilimia 73.5% ya kura zote za ndio.
Post a Comment