All Right Receved by MR.PENGO 2016

Saturday, October 31, 2015

TASWIRAZZ MBALIMBALI ZA BI.ASHA IBRAHIMU KATIKA HAFRA YA KUHITIMU KIDATO CHA NNE....

 Katika Taswira Ni Bi.Asha Ibrahim Muhitimu wa kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Mbalizi Iliyopo Mkoani Mbeya Wilaya Ya Mbeya Vijijini Katika Hafra ya kuhitimu Kidato cha Nne Katika shule hiyo.
Binti yetu Asha Ibrahim sanjari na Cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne, katika Ukumbi wa shule ya Sekondari Mbalizi Mbeya Vijijini
Kutoka Kulia ni Mama Mzazi Chiku Ibrahim, Bi.Asha Ibrahimu na Mama Karim Shoto katika Taswira ya pamoja katika Hafra ya Maafali ya kumpongeza Bi.Asha Ibrahim kuhitimu kidato cha nne Katika Shule Ya Mbalizi Sekondari iliopo Mkoani Mbeya.
Kutoka Shoto ni Salma Atick Mama Mdogo wa Muhitimu Asha Ibrahim Ambeye pia ni Mtahiniwa mtarajiwa...
Mama Mkubwa Shoto Sikitiko Mursali Akimtunuku zawadi Bi Asha Ibrahim.
pozzzz.
keki.
Sherehe ilinoga sana kama nionekanavyo hapa mie MR.PENGO katika Ubora wangu Sanjari kabisa na Full Dozi ya Kuku na Pilau flani hivii,... nikupongeze sana Ankal Asha Ibrahimu na ni watakie Mtihani mwema wote mnao jumuika kufanya mtihani huo wa kuhitimu kidato cha nne.

No comments: