Thursday, October 22, 2015

TASWIRA MBALI MBALI ZA MIKUTANO YA KAMPENI ZA MH. LOWASSA KATIKA MAJIMBO YA HANDENI NA KILINDI, JIJINI TANGA......

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiongozana na Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye pamoja na baadhi ya viongozi wa Vyama vinavyounda UKAWA, wakiwasili katika Uwanja wa Kigoda, Mjini Handeni, Jijini Tanga kulikofanyika Mkutano wa Kampeni jana Oktoba 22, 2015. 
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kigoda, Mjini Handeni, Jijini Tanga,  jana Oktoba 22, 2015.
  Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimsikiliza kwa makini mmoja wa watoto waliomfata kumsalimia, mara baada ya kumaliza kuhutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, katika Uwanja wa Kigoda, Mjini Handeni, Jijini Tanga, Jana Oktoba 22, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kigoda, Mjini Handeni, Jijini Tanga, jana Oktoba 22, 2015.





















No comments: