All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, October 11, 2015

SOPHIA SIMBA AMNADI MGOMBEA UBUNGE CCM JIMBO LA MBEYA MJINI SAMBWEE SHITAMBALA....

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Ambaye piya ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mh.Sophia Simba amnadi mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), katika mkutano wa adhara wa kampeni za Mgombea Ubunge uliofanyika katika Kata ya Iganzo Jijini Mbeya.
Mgombea Ubunge kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mbeya Mjini Ndugu, Sambwee Shitambala akizungumza na Wananchi wa Kata ya Iganzo kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kupitia chama chake.
Baadhi ya Wanachama na Wakazi wa Iganzo wakimpongeza Mgombea Ubunge Sambwee Shitambalaa.
Vijana wakifuatilia kwa makini Mkutano huo wa adhara uliofanyika leo katika Kata ya Iganzo Jijini Mbeya...

  Mwanamuziki  wa Muziki Wakizazi Kipya Keisha nae alikuwepo kwenye Mkutano huo uliofanyika katika Kata ya Iganzo Jijini Mbeya.

No comments: