Thursday, October 22, 2015

DK MAGUFULI ATESA DAR, AFURAHISHWA KULAKIWA NA WAFUASI WA VYAMA VYOTE...

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akipungia mkono kuwaaga wananchi baada ya kumalizika kwa mkutano wa kampeni za CCM katika viwanja vya Shule ya Msingi Bunju  A, Jimbo la Kawe, Dar es Salaam
 Dk Magufuli akiondoka kwenye viwanja hivyo huku ulinzi ukiwa umeimarishwa kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Binju A, Jimbo la Kawe, Kinondoni Dar es Salaam.
 Wananchi wa Kata ya Mlandizi, Jimbo la Kibaha Vijijini, wakishangilia kwa furaha baada ya kumuona Dk Magufuli.























No comments: