Friday, September 25, 2015

TASWIRAZZ ZA UZINDIZI WA ALBAMU YA ZAX 4REAL IENDAYO KWA JINA LA -PUNGUZA HASIRA-

 Mwana Muziki wa Kizazi Kipya toka Nyanda za Juu Kusini Zax 4Real akitumbuiza katika hafra yake ya Uzinduzi wa Albamu yake iendayo kwa Jina la "Punguza Hasira" Uzinduzi ulio fanyika Tar,25-09-2015 katika Ukumbi wa Hope Ville Soweto Jijini Mbeya. Mwana Muziki wa Muziki wa Kizazi Kipya anae fanya vizuri sana katika Tasnia ya Muziki wa Kizazi Kipya Nyanda za Juu Kusini Zax 4Real akipagawisha baadhi ya Mashabiki walio hudhuria katika Hafla hiyo ya Uzinduzi wa Albamu ya "Punguza Hasira" ulio fanyika katika Ukumbi wa Hope Ville Soweto Jijini Mbeya. Bwana Zax 4Real akipokea Zawadi nono toka kwa waubani wake Nyonga mkalia Ini Jina lake Kapuni ni Busu lenye Bashasha kama lionekanavyo hapo katika Taswirazz.

No comments: