All Right Receved by MR.PENGO 2016

Saturday, September 5, 2015

TASWIRA MBALIMBALI ZA MGOMBEA UBUNGE MBEYA MJINI KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM SAMBEE SHITAMBALA KATIKA KATA YA NSALAGA JIJINI MBEYA...

Mgombea Ubunge Mbeya Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi Ccm mh.Sambwee Shitambala akizungumza jambo na wana nsalaga hawapo pichani katika mkutano wa kampeni ulio anza hivi karibuni....Picha zote na Fadhiri Atick Mbeya.
Mh.Sambwee Shitambala akizungumza na wakazi wa Kata ya Nsalaga Jijini Mbeya.
Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Ccm Kata ya Nsalaga Jijini Mbeya wakishangilia katika mkutano huo.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi Ccm Kata ya Nsalaga wakimsikiliza mgombea ubunge kwa Mwamvuli wa Chama hicho mh.Sambwee Shitambala.
Hivi ndivyo ilivyo kuwa Nsalaga.

No comments: