All Right Receved by MR.PENGO 2016

Monday, August 31, 2015

TASWIRAZZ MBALIMBALI UZINDUZI WA KAMPENI KWA MGOMBEA UBUNGE NA MADIWANI WA CHAMA CHA CHADEMA.

Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akizungumza na Wanachama (Hawapo Pichani) wa Chama cha Demoklasia na Maendeleo Chadema katika Uzinduzi ulio fanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge Jijini Mbeya wa kuanza Kampeni rasmi katika  Kata mbalimbali Jijini Mbeya...Picha Zote na Fadhiri Atick Mbeya.
Baadhii ya wafuasi wa Chama cha Demoklasia na Maendeleo Chadema wakipata neno katika uzinduzi huo wa kampeni Ubunge na Madiwani katika Kata....
Mgombea Ubunge Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aki mwaga sela zake...
Hivi ndivyo hali ilivyo kuwa..

No comments: