Taswira za Mtanange wa Yanga na Tanzania Prison katika Mchezo wa kirafiki ulio chezwa katika uwanja wa sokoine jijini mbeya ambapo yanga iliibuka mshindi kwa kuichapa Tanzania Prison mikwaju ya gori mbili bila (2-0)Picha na Fadhiri Atick Mbeya.
Kikosi cha yanga....
Kikosi cha Tanzania Prison..
No comments:
Post a Comment