All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, August 16, 2015

TASWIRA KATIKA MTANANGE WA YANGA NA MBEYA CITY UWANJA WA SOKOINE JIJINI MBEYA AMBAPO YANGA ILIIBUKA MSHINDI KWA USHINDI WA GORI 3-2...

0 (2592×1728)
Yanga iliibuka mshindi katika Mchezo wa kirafiki uliochezwa katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya ambapo Timu ya Yanga ilipata ushindi wa Magori (3-2), wafungaji kutoka Yanga ni Andrew Coutinho Dakika ya 16, Amisi Tambwe Dakika ya 45 na Donald Ngoma Dakika ya 49, vile vile wafungaji wa Timu pinzani ya Mbeya City fc ni Bakari Slang na Fowadi Jezi Nambali Kumi na Sita (16) Mgongoni..Picha na Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo Mbeya.
0 (2592×1728)
0 (1728×2592)

0 (2592×1728)
0 (2592×1728)
0 (2592×1728)
0 (2592×1728)


Post a Comment