All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, August 27, 2015

MAGUFULI AENDELEZA KAMPENI WILAYA YA MBOZI MKOANI MBEYA....

Mgombea Uras wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Mbalizi mkoani Mbeya mapema leo asubuhi katika mkutano wa kampeni  maeneo ya Mbalizi wilaya ya Mbozi.
 Wanakijiji cha Kanga wakitazama picha ya mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli wakati  mgombea huyo akielekea  Chunya kwenye mkutano wa kampeni.
Wananchi wa Mbalizi wakiwa wamekusanyika wakimsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa kampeni uliofanya katika stendi ya mabasi Mbalizi.

Wafuasi na Washabiki wa CCM wakiwemo na Wananchi mbalimbali wakiwa wamefurika kwa shangwe kwa ajili ya kumsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mapema leo asubuhi kweny mkutano wa kampeni ndani ya wilaya ya Mbozi.

Post a Comment