All Right Receved by MR.PENGO 2016

Saturday, July 4, 2015

MWILI WAKUTWA KANDO KANDO YA MTO JIJINI MBEYA..

 Kijana mmoja afaamikae kwa majina (Kened Zakalia Mwakalime) akutwa kando kando ya mto jianga jijini mbeya akiwa amefariki duni, Wakazi wa mtaa wa kagwina walizungumza na mwandishi wetu juu ya hali ilivyo kuwa na kusema, "kijana kened Zakalia alikutwa na umauti tangu usiku wa kuamkia leo mara baada ya ugonjwa  wa kifafa alio kuwa nao kwa muda mrefu ulio kuwa ukimkumba mara kwa mara na kupele kea kifo chake kwa kuangukia kwenye maji mpaka mauti kumfika...picha zote na Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo mbeya.subiri video yake hapa hapa.
Mwili wa marehemu Kened Zakalia.
baadhi ya wakazi wa eneo la sinde mtaa wa kagwina wakishuhudio tukio..
Mkazi akiangalia mwili wa marehemu..
majonzi yakiwa yametawala eneo hilo la sinde mtaa wa kagwina jijini mbeya..
humu ndimo inaposemekana kuwa marehemu alitumbukia mpaka mauti kumfika..
wakazi..
jeshi la polisi likiondoka na mwili wa marehemu eneo hilo..
Post a Comment