All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, July 23, 2015

MADIWANI VITI MAALUM TARAFA YA IYUNGA NA SISIMBA WILAYA YA MBEYA MJINI KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI WAPATIKANA KWA KUPIGIWA KURA NA WAJUMBE WA WILAYA KATIKA UKUMBI WA MBEYA SEKONDARI..

katibu wa (UWT)chama cha mapinduzi ccm wilaya ya mbeya mjini ndugu Saphia Almasi akizungumza jambo katika mkutano wa kuwatafuta madiwani viti maalum tarafa ya iyunga na sisimba kwa kuwapigia kura za maoni katika ukumbi wa shule ya  mbeya sekondari jijini mbeya ambapo wagombea  udiwani katika tarafa ya Iyunga walio chaguliwa ni wagombea saba (7) kati ya wagombea kumi na nane (18), Mary Malema, Mangasila, Christina Gwimile, Amina Chaula, Mwajuma Tindwa, Rose Mahinya na Neema Mwasampeta wamepata ridhaa ya kuchaguliwa na wajumbe wa chama cha mapinduzi ccm mbeya mjini..na wagombea udiwani viti maalum walio chaguliwa katika tarafa ya sisimba ni wagombea watano (5) Kati ya wagombea kumi na mbili (12) Agata Ngole, Suzana Simkoko, Saphia Almasi, Elizabeth na Habiba mwakitabu..Picha zote na Fadhiri Atick Mbeya. Mgombea ubunge viti maalum mkowa wa mbeya ndugu,.Tusubilege Benjamin akiwasalimu wajumbe wa ccm jijini mbeya walio hudhuria kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa shule ya mbeya sekondari..

 baadhi ya wajumbe wa ccm mbeya mjini wakiselebuka katika kikao hicho kilichofanyika tar:22-07-2015 katika ukumbi wa shule ya mbeya sekondali
 kutoka shoto ni katibu wa chama cha mapinduzi ccm wilaya ya mbeya mjini ndugu saphia Almasi na kaimu mwenyekiti chama cha mapinduzi Frola Ambakisye Jongo wakifurahia jambo..


Baadhi ya wagombea udiwani viti maalum katika tarafa ya iyunga na sisimba jijini mbeya wakijinadi kwa kuomba kura kwa wajumbe wa chama cha mapinduziu ccm jiji la mbeya..
baadhi ya masanduku ya kuhifadhia kura yakipelekwa katika chumba maalum cha kuhesabia kura..
baadhi ya wajumbe wa ccm jijini mbeya walio hudhuria  kikao cha uchaguzi wa kura za maoni kuwapata madiwani viti maalum tarafa ya iyunga na sisimba kwa tiketi ya chama cha mapinduzi ccm..
baadhi ya wagombea udiwani viti maalum kwa tiketi ya chama cha mapinduzi jijini mbeya wakijaza baadhi ya fomu zao za kupigia kura..
baadhi ya wanachama wa ccm jijini mbeya wakiwa nje ya ukumbi kusubiri matokeo..
wajumbe wa ccm jiji la mbeya..
Mgombea ubunge viti maalum mkowa wa mbeya ndugu,.Tusubilege Benjamin watatu kulia akijumuika na baadhi ya kina mama wa chama cha mapinduzi ccm jijini mbeya..
kada na mjumbe wa ccm jiji la mbeya mjini Stumai Maneno akipata burudani ya muziki huku akitoka nje ya ukumbi wakati wa kusubiri majibu...
mgombea ubunge viti maalum mbeya mjini ndugu Suma Fyandomo  akiwasabahi wajumbe wa wilaya..

mpaka kielewekee..
Post a Comment