All Right Receved by MR.PENGO 2016

Wednesday, July 15, 2015

HILI NDIO FORENI LA MAROLI ENEO LA MZANI MAKAMBAKO..

katika katiza katiza eneo la mzani makambako na kujionea jinsi ambavyo maroli yanapata shida ya kupima uzito hali ambayo imekuwa ni kero kubwa kwa madereva wa maroli hayo kupelekea kukaa kwa muda mrefu kungoja kupima uzito katika mzani uliopo eneo hilo kuwa sehemu moja tuu, Namna hapa ya kuongeza mzani mwingine inahitajika sana kwa upande wa pili na hii itaweza kupunguza hadha ya foren eneo hilo la mzani makambako Kutokana na mzani kuwa upande mmoja tuu...Picha na Fadhiri Atick Globu ya jamii..
kutokana na maroli kukaa upande mmoja wa bara bara inapelekea magari mengine yanayo katiza katika barabara hiyo kuchepuka upande mwengine wa chini ili kupata nafasi ya upenyoo..
foreni likiendelea hapoo...
bajaji na magari mengine yanayo katiza hapo yakitafuta upenyo..
maroli yakisubili foreni eneo hilo la mzani makambakooo...
foreni la nguvuu....
hii ndio hali jinsi ilivyo eneo la mzani makambako..
Post a Comment