All Right Receved by MR.PENGO 2016

Friday, June 12, 2015

TASWIRA MBALIMBALI ZA MH:EDWARD LOWASA MKOANI TABORA NA KUPATA UDHAMINI WA WANACHAMA 9516 WA CCM. Waziri Mkuu wa Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akipokea majina kutoka kwa Naibu Katibu wa CCM Wilaya ya Tabora Mjini, Bi. Hidaya Rashid yenye idadi wanachama wa CCM 9516 waliomdhamini ili aweze kuteuliwa na Chama kuwania Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.


Post a Comment