All Right Receved by MR.PENGO 2016

Saturday, June 13, 2015

MR.PENGO NILIPO KUWA NIKILA TIZE LA KUENDESHA VIATU VYA MATAIRI....

Siku zote michezo hujenga Afya na mwili na hii ni kawaida yangu siku za weekend kufanya mazoezi na michezo aina mbalimbali na hii ni moja ya kujifua katika uwekaji wa mwili sawa kama nionekanavyo katika taswira hapo juu nikiwa nakula kona kali na viatu hivyo vya mataili katika           barabara eneo la samola jijini mbeya.

      hapa nikiwa katika pozz na viatu hivyo vya                                                  matairi.

hapa nikiwa katika mwendo nikiendelea na tizz katika barabara eneo la samola jijini mbeya.
Post a Comment