All Right Receved by MR.PENGO 2016

Saturday, June 20, 2015

ILEMI F.C YAIBUKA MSHINDI LIGI YA MWAITELEKE CUP JIJINI MBEYA KWA KUICHARAZA FELLALI F.C GORI (2-1)

Ilemi f.c waibuka mshindi katika michuano ya ligi ya Mwaiteleke Cup kwa kuwachapa Fellali f.c gori (2-1) katika fainali iliyo chezwa katika uwanja wa shule ya msingi mwenge jijini mbeya..Picha zote na Fadhiri Atick (Mr,Pengo) Mbeya.
mtanange ukiendelea katika uwanja wa shule ya msingi mwenge jijini mbeya...
kiungo wa timu ya Fellali f.c akiteleza na mpiraaa.....
Nyomiiii....la wakazi wa jiji la mbeya na mashabiki kinazi wa timu hizo wakifuatilia kwa makini mtanange huo...
hisia zikiwa zimeelekezwa uwanjani moja kwa moja kutoka kwa  kila shabiki..MR.Pengo ndani ya taswira...
Post a Comment