Madereva wa bajaji jijini mbeya waandamana kwa kuchoma mataili ya gari kwenye baarabara kuu ya makutano eneo la mafiati na kuandamana mpaka mwanjerwa kwa madai ya kwamba wanahitaji wapewe ruhusa ya kutembea na kuruhusiwa kupita bara bara kuu na kupunguziwa mapato ya ushuru wa bajaji hizo jijini mbeya.picha zote na Fadhiri Atick globu ya jamii Mbeya.
Hapa heka heka za badhi ya madereva wa bajaji wakiwa wanachochea moto huku wakiimba na kushangiria jambo hilo.
baadhi ya matairi yaliyo tiwa kibiriti yakiendelea kuwaka kandokando ya barabara.
baadhi ya madereva wa bajaji wakiendeleza mgomo wao.
"hii ni mtaa kwa mtaa mpaka kieleweke."
"tunacho taka ni kuruhusiwa tuu kupiga kazi barabara kuu vinginevyo tunaendelea kukinukisha..."
hapo baadhi ya viongozi wa bajaji wakidhadhiana na jeshi la pilisi.
polisi wakiendelea na uturizaji gasia eneo la mafiati mbeya.
Hali ni tete hiii.......
baadhi ya madereva wa bodaboda wakishuhudia tukio hilo.
No comments:
Post a Comment