All Right Receved by MR.PENGO 2016

Monday, May 4, 2015

MGOMO WA MAGARI YA USAFIRI JIJINI MMBEYA.

Madereva wengi nchini wamefanya mgomo wa vyombo vya usafiri, tangu jana asubuhi mpaka siku ambayo bado haijajulikana hatima ya mgomo huo, wakazi wa jiji la mbeya wajikuta wakiwa katika wakati mgumu kutokana na adha ya usafiri kutokana na vyombo hivyo kuweka mgomo, wasafiri wa mikoa na wilaya mbali mbali bado wapo katika halingumu sambamba na wanafunzi wasomao mbali kidogo na mji wa jiji la mbeya.picha zote na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) Mbeya.
baadhi ya Abilia ambao ilitakiwa wasafiri tangu jana wakiwa katika pilika pilika stendi kuu soko matora kusubiri hatima ya mgomo huo.

wanafunzi wajikuta hakizunguka zunguka katika stendi ya kabwe kuangahikia usafiri wa kuwapeleka shule.bajaji zikiwa zimeingia barabarani kukusanya abilia kwa bei ya juu kulingana na daladala zinazo fanya mzungunguko jijini hapo.          Abilia wakiwa katika butwaa katika stendi ya zamani mwanjerwa.
                Hali ilivyo stendi kuu sokomatola ilivyo.
                                       hali ni mbayaa aiseeee.
             hivi ndivyo hali ilivyo sasa jijini mbeya.
Post a Comment